Hekima Girls Secondary School
P.O. Box 1817, Bukoba, Kagera
hekima.school@gmail.com
+255782615586 / +255784897880

Our News

Mtihani wa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza

Image placeholder
Mtihani wa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza utakaofanyika tarehe 11/09/2021 vituoni na 13/09/2021 shuleni Hekima Girls Secondary School. Pia Pre-form Ne Course itaanza tarehe 20/09/2021. Fomu zinapatikana shuleni na vituoni kwa Sh 15000, kwa mawasiliano zaidi pia 0782615586 au tuma barua pepe kwenda hekimaschool@gmail.com